SHEREHE ZA KUWAPONGEZA MABINGWA COCA COLA CUP

Sherehe fupi ya kuwapongeza vijana wa Mkowa wa Mjini Magharibi mabingwa wa Copa Cocacola iliyoandaliwa na  ndugu Hassan Haji Chura ambae ni kiongozi mkuu wa wilaya ya mjini magharibi katika soka ambae mchango wake mkubwa katika kuendeleza kupata vipaji katika mkoa wake huonekana kila mwaka kwa nyota wengi kujiunga na timu kubwa mbalimbali nchini.
 

Tunawaomba wadau nchini kutoa ushirikiano kwa kiongozi huyo kuweza pamoja na viongozi wengine ili kuweza kuwatunza nyota hao ambao inaweza kuwa ndio fungu kubwa la timu ya taifa ukichanganya na nyota wengine wa umri huo katika mikoa mingine nchini kwa maendeleo ya taifa letu.