U17 Yatoa Sare Ligi 12 Bora

Vijana Wa Kituo Cha Orange Football Academy (Ofa) U17  Jumamosi 18/5/2013 Katika Kikwanja Cha Kikwajuni Wamecheza Mechi Ya Ligi 12 Bora Daraja La Junior Na Kutoka Sare Ya 2 - 2 Dhidi Ya Timu Ya F.C Cardif Mechi Round No. 1

Mechi Nyengine Round No. 2 Na Round No. 3 Zitakuwa Tarehe 25/5/2013 Na Tarehe 26/5/2013.
Magoli Ya Ofa Yamefungwa Na Fahmi Habib Agogo Na Fahad Adam Ameir Alaves Mlinzi Wa Kulia Mwenye Spidi Ma Uwezo Wa Kupiga Mipira Mrefu.
 
Licha Ya Vijana Hao Wa U17 Kuwakosa Nyota Wake Kadhaa Katika Mchezo Huo Kama Hamed Moh'd (Ribery), Moh'd Abdulkarim (Mascherano), Salum Hamad (Kipolisi) Lakini Iliweza Kucheza Vizuri Na Kuonyesha Uwezo Kwa Kucheza Soka Safi Na La Kusisimua Na Kuwapa Burudani Mashabiki Ambao Wamejitokeza Kwa Wingi Kufuatilia Timu Yetu Katika Mechi Zake.
 
Mechi Nyengine Round No. 2 Na Round No. 3 Zitakuwa Tarehe 25/5/2013 Na Tarehe 26/5/2013.