Mwakilishi Wa Kwahani Atoa Msaada Kwa Vijana Wa Kituo Cha O.F.A

 

Mheshimiwa Ali Salum Mwakilishi wa Jimbo la Kwahani amechangia shilingi laki mbili kwa ajili ya kituo chetu na amekabidhi pesa hizo cash kwa katibu mkuu wa kituo kwa niaba ya kituo tunampongeza sana kwa moyo wake huo wa kusaidia maendeleo ya kituo na taifa na tunawaomba na wengine wajitokeze katika kusaidia pia muheshimiwa Ali ameahidi kuendelea kushirikiana na kukisaidia kituo hicho ofa.