Katibu Mkuu Wa O.F.A Kuelekea Dubai Leo

 

Katibu mkuu wa kituo cha kukuza soka kwa vijana nchini ORANJE FOOTBALL ACADEMY ambae pia ni katibu mkuu wa CENTRAL LEAGUE ZFA leo tarehe 19/07/2013  atasafiri kuelekea nchini Dubai kikazi ambapo atakuwa huko kwa kipindi kisichopungua mwezi 1 ambapo kabla ya hapo alikuwepo pia nchini India kwa shughuli zake hizo za kikazi.
Atakapo kuwa nchini Dubai katibu mkuu huyo ataendelea kuwa kiungo muhimu cha kituo chetu ambao ataweza kuendelea na kazi zake kama kawaida,tunawaomba samahani wale wote ambao watakuwa wakimtafuta kwa simu yake kuwa hawatoweza kumpata kwa muda huo isipokuwa wanaweza kumpata kwa email yake ya This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. .
Kwaniaba ya kituo chetu cha kukuza vipaji vya soka nchini tunamtakia safari njema kwa muda wote atakapokuwa nchini Dubai.